July 9, 2016


Mshambuliaji Malimi Busungu wa Yanga, hakuwa na msimu mzuri, yaani msimu uliopita.

Hakuweza kuonyesha kiwango kilichotogemewa, pia aliandamwa na majeruhi.

Lakini sasa amerejea tena mazoezini na kinachovutia ukimuona kwa mara ya kwanza ni muonekano wake.


Katika mazoezi ya Yanga, baadhi ya mashabiki waliojitokeza kushuhudia, walionekana kufurahishwa na alivyonyoa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV