July 2, 2016


Baada ya Iceland kuitwanga England na kutinga nusu fainali, jezi za timu hiyo ya taifa zimeisha katika kila duka.

Jezi hizo ambazo zinatengenezwa na kampuni ya Kiitaliano ya Errea zimeisha na Iceland imelazimika kuchukua oda moya kwa watu mbalimbali.


Baada ya oda, kinachofuatia ni kiwanda cha Errea kufanya kazi fasta ila kila mtu apate jezi yake. Ulaya raja, ukifanya vizuri watu wanakuunga mkono.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV