July 7, 2016


Moja ya kitengo chenye upinzani zaidi kama utazungumzia namba katika kikosi cha Yanga ni full back ya kulia.

Huko kuna Juma Abdul ambaye ni ‘mwenyeji’ na Hassan Kessy ambaye ni ‘mgeni’ aliyetua akitokea Simba.


Picha hii inaonyesha wakiwa mazoezini wakipambana ile mbaya na Kessy anaonekana kumsetia Juma ambaye anaachia mkwaju hasa kama ilivyo jawaida yake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV