TASWIRA NNE, NAMNA BIN SLUM, TFF VETERANI WALIVYOTOANA JASHO MICHUANO YA FRESCO NA KUTOKA SARE YA 3-3 Kikosi cha Bin Slum Veterani, kilitoka sare ya 3-3 dhidi ya kile cha TFF Veterani katika mechi tamu kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam, jana. Cheki taswira, uone kazi ilivyokuwa.
0 COMMENTS:
Post a Comment