July 7, 2016

OMOG

Wachezaji wa kigeni wa Simba kutoka katika nchi za Ivory Coast, DR Congo wameanza majaribio leo.

Kocha mpya wa Simba, Joseph Omog ndiye alikuwa akisimamia mazoezi hayo.

Wachezaji wawili kutoka DR Congo wameanza majaribio leo ambao ni beki na kiungo na mshambuliaji Cedrick Blagnon raia wa Ivory Coast.


Hata hivyo imekuwa ni vigumu kushuhudia mazoezi ya Simba kwa kuwa yanafanyika ndani ya uzio wa Jeshi la Polisi Kilwa Road jijini Dar es Salaam.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV