YANGA ILIVYOPAA LEO ALFAJIRI ILIVYOPAA KUIFUATA MEDEAMA Yanga imekwenda Ghana tayari kuivaa Medeama katika mechi yake ya nne ya Kombe la Shirikisho. Kikosi hicho kilichoondoka leo alfajiri, kikionekana kuwa na ari kubwa ya kufanya vema.
0 COMMENTS:
Post a Comment