August 5, 2016


Kiana unaweza kusema ule mzigo wa Ligi Kuu England unazinduliwa kesho kwa mechi ya Ngao ya Hisani.


Mabingwa wa England Leicester City, wanakutana na mabingwa wa FA, Manchester United chini ya Jose Mourinho. Ni ngoma hasa na kwa Mtanzania wala hupaswi kusumbuka,  DSTV kupitia SuperSport, kwa raha zako utaupata mzigo ‘laivuuuuu’.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV