ANZA SIKU NA PICHA HII; MARAFIKI WA ZAMANI WATAKAOTIFUANA WIKIENDI HII JIJINI MANCHESTER Anza siku na picha hii, hapa ilikuwa ni wakati Jose Mourinho akiwa kocha msaidizi wa Barcelona na Pep Guardiola akiwa mchezaji. Wawili hao sasa ni makocha maarufu na wanakutana wikiendi hii, Mourinho akiwa na Man United na Pep akiwa na Man City. Itakuwa si mchezo.
0 COMMENTS:
Post a Comment