September 1, 2016


Habari njema kwa mashabiki wa Real Madrid muda mchache kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.

Kiungo Isco atabaki Real Madrid, hatakwenda tena England na kujiunga na Tottenham kama ilivyoelezwa.

Tokea mchana leo, taarifa za kwamba huenda atabaki zilizagaa katika viwanja via Real Madrid katika eneo la Valdebebas nje kidogo ya jiji la Real Madrid.

Lakini baadaye ilithibitishwa kwamba Isco aliyekuwa akisumbuliwa na enka, anaendelea kubaki Real Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic