September 1, 2016



Valencia ya Hispania imeongeza nguvu ya ukuta wake baada ya kumsajili belo Eliaquim Mangala kwa mkopo akitokea Manchester City.

Napoli ya Italia na FC Porto ya Ureno, zilionyesha nia ya kumpata beki huyo ambaye ameonekana kutokuwa chaguo la kwanza la kocha Pep Guardiola lakini mwisho, Valencia ndiyo wamekuwa ‘wall nyama’.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic