September 21, 2016


Mshambuliaji wa zamani wa Simba, Danny Lyanga amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Fanja FC ya Oman.


Lyanga alifuzu majaribio tokea wiki iliyopita lakini rasmi jana amekabidhiwa mkataba wake.

Simba iliamua kumuachia aende Oman baada ya usajili wake mpya wa washambuliaji kama Laudit Mavugo, Fredric Blagnon na viungo kama Shiza Kichuya na Mohammed Ibrahim.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic