September 1, 2016



Mshambuliaji wa Genk, Mbwana Samatta ataendelea kuendeshwa kwa kuwa alifeli katika mtihani ambao ungemuwezesha kupata leseni ya udereva nchini Ubelgiji.

Kama ilivyo kawaida katika nchi za Ulaya, wanaotakiwa kuendesha nchini humo lazima wafanyiwe mtihani.

Samatta alishindwa kufanya vema na kupata maksi ambazo ni sahihi ili kuweza kupewa leseni.


Kutokana na kushindwa, Samatta ataendelea kuendeshwa kwenda na kurudi mazoezini pia kwenye shughuli zake mbalimbali akiwa nchini Ubelgiji.

3 COMMENTS:

  1. ALIFANYA KWA LUGHA GANI SASA?

    KAMA NEDERLANDS KUFELI NI HAKI YAKE ILA KAMA ENGLISH INABIDI AANZE UPYA YANI ALIPE TENA AKAFANYE TENA MTIHANI.

    ReplyDelete
  2. ALIFANYA KWA LUGHA GANI SASA?

    KAMA NEDERLANDS KUFELI NI HAKI YAKE ILA KAMA ENGLISH INABIDI AANZE UPYA YANI ALIPE TENA AKAFANYE TENA MTIHANI.

    ReplyDelete
  3. Protas Kanemela
    Sasa nani analipia gharama za kuendeshwa kwa Samatta, ni clabu yake ama yeye mwenyewe?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic