Azam FC wamewakaribisha Yanga kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
Pamoja na kuwa mechi ya kasi iliyotawaliwa na ubabe, imeisha kwa sare ya bila bao.
Kwa sare hiyo, Yanga sasa imefikisha pointi 15 baada ya michezo nane, wakati Azam FC imefikisha pointi 12 baada ya mechi 9.
0 COMMENTS:
Post a Comment