BAADA YA KILA MMOJA KUPIGA BAO, HIVI NDIVYO POGBA, LINGARD WALIVYOONYESHA UJUZI WA KUSAKATA NGOMA Jesse Lingard na Paul Pogba walionyesha furaha yao ya kuifungia Man United katika mechi ya Europa Cup kwa kucheza ngoma, namna hii. Man United imeitwanga Fenerbahce ya Uturuki kwa mabao 4-1 katika mechi ya Europa Cup iliyoisha hivi punde.
0 COMMENTS:
Post a Comment