sasa ni mapumziko, Manchester United iko nyuma dhidi ya wenyeji wake Chelsea.
Chelsea wakiwa Stamford Bridge wanaongoza kwa mabao 2-0 dhidi ya kocha wao wa zamani Jose Mourinho katika mechi kali ya Ligi Kuu England.
Mabao ya Chelsea, la kwanza limefungwa na Pedro Rodriguez katika dakika ya kwanza na beki Gary Cahill akaongeza la pili katika dakika ya 21.
TUSUBIRI KIPINDI CHA PILI....
0 COMMENTS:
Post a Comment