October 27, 2016


Chelsea wamekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa West Ham United katika mechi ya Kombe la EFL.

Chelsea wakiwa ugenini walianza kukubali kufungwa katika dakika ya 11 kupitia Cheykhou Koutate na Edimilson Fernandes akashindilia msumari wa pili katika dakika ya 48.

Garry Cahill, mlinzi mwenye mwili mkubwa ndiye aliifungia Chelsea bao lake la kufutia machozi katika dakika ya 90.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV