October 23, 2016


Wakati Yanga wakiendelea kulumbana katika suala la kuleta mabadiliko katika klabu yao, wajanja wameendelea kufanya biashara ya jezi feki ambazo zinawaingizia kipato.

Wako ambao wamekuwa wakigoma kukodishwa au muwekezaji kuendesha nembo yao na kuwagawia faida, huku wakijua kwa sasa, nembo hiyo haiwaingizii chochote zaidi ni kufaidisha wajanja wachache.


Jezi zimekuwa zikiuzwa kila sehemu kama unavyoona picha, wachuuzi wakiuza jezi hizo nje ya Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV