HALI YA HEWA KATIKA MJI WA SHINYANGA SAFI KABISA, KAMBARAGE INAWASUBIRI STAND VS SIMBA Simba inaivaa Stand United kwenye Uwanja wake wa nyumbani wa Kambarage mjini Shinyanga. Mechi hiyo itaanza hivi punde na inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka nchini. Hali ya hewa katika uwanja huo ipo vizuri, jua kali na mpira utacheza vizuri kabisa.
0 COMMENTS:
Post a Comment