HALI YA HEWA YA MBEYA SAFI KABISA, KAZI KWAO MBEYA CUTY VS YANGA mjini Mbeya kwenye Uwanja wa Sokoine, leo ni wenyeji Mbeya City Vs Yanga. Mashabiki wameishaanza kuingia uwanjani mapema kabisa. Hali ya hewa, iko vizuri. Kijua kinachoangaza vizuri na hakuna atakayelalamika hali mbaya ya hewa.
0 COMMENTS:
Post a Comment