November 19, 2016Cristiano Ronaldo ameamua kujifua na mtoto wake mwenye umri wa miaka 6 ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye mechi dhidi ya Atletico Madrid.


Gumzo ni Madrid na Atletico msimu huu, Ronaldo amekuwa akitupia picha mtandaoni akionekana akiwa na mwanaye huyo gym.

Leo, mechi hiyo itapigwa kwenye Uwanja wa Vicente Calderon katika jiji la Madrid nchini Hispania.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV