December 4, 2016



Si vibaya kama utasema dimba la Camp Nou katika sehemu ya kuchezea hasa katikati ya uwanja, lilikuwa mali ya Luka Modric.

Barcelona walikuwa wenyeji wa Madrid katika mechi ya El Clasico iliyoisha kwa sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Cam Nou.

Kiungo huyo wa Madrid raia wa Croatia alimaliza mechi hiyo akiwa bora zaidi kwa viungo wengine wote hadi kwa maksi ya pointi 41, zaidi.

Kama hiyo haitoshi, Modric alipiga pasi zake kwa ubora wa asilimia 95.2.


Modric mwenye umri wa miaka 31, ndiye alimiliki mpira zaidi kuliko viungo wengine na wachezaji wote waliocheza mchi ya jana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic