December 4, 2016



Wachezaji wa Yanga wataendelea kuhenya na mazoezi makali ya Kocha George Lwandamina.

Lwandamina amewaambia wachezaji wa Yanga, wataendelea na mazoezi makali ili kutengeneza hali ya uimara.

“Kocha amesema anataka tuwe fiti, kwa kuwa tumetika kwenye mapumziko, lazima tumvumilie kwa kipindi hiki.

“Amesema kitafikia kipindi cha kupoza na mazoezi yataanza kupungua. Lakini sasa yamekuwa makali kwa kweli,” alisema mmoja wa wachezaji wa Yanga.


Lwandamina raia wa Zambia amekichukia kikosi chini ya Hans van der Pluijm raia wa Uholanzi.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic