Uhusiano unaweza kumbadilisha mtu kutoka kuwa si mpenzi wa kith fulani hadi akaanza kukipenda.
Mwanamuziki nyota kutoka Colimbia, Shakira alikuwa katika wakati mgumu wakati wa mechi ya El Clasico inayowakutanisha wapinzani wakubwa Barcelona waliokuwa wenyeji wa Real Madrid kwenye Uwanja wa Camp Nou jijini Barcelona, Jumamosi iliyopita.
Shakira ambaye ni mzazi mwenzake Gerard Pique, beki tegemeo wa Barcelona, hakuwa na amani jukwaani.
Midadi ambayo ilionyesha sasa ni shabiki wa kutupwa kwa kuwa mzazi mwenzake ni mchezaji nyota na tegemeo wa timu hiyo.
Awali, Shakira hakuwahi kuonekana akishangilia soka, hadj alipokutana na Pique mwaka 2010 wakati wakitengeneza video ya wimbo wa Wakawake iliokuwa maalum kwa ajili ya Kombe la Dunia.
Angalia mapichaaazzzz...
0 COMMENTS:
Post a Comment