Yanga imepoteza mechi yake ya kwanza chini ya Kocha George Lwandamina.
JKU ya Zanzibar ndiyo iliyoitia njaa Yanga kwa kuichapa mabao 2-0 katika mechi ya kirafiki iliyopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar.
Yanga ilikuwa nyuma kwa mabao 2-0 hadi mapumziko ndipo Lwandamina akabadili kikosi chote kwa asilimia 95.
Hata hivyo, bado hakuweza kuabdilisha lolote kwa kuwa hadi mwisho, JKU iliibuka na ushindi.
Mpira uwanjan sio magazetin..timu ya wazee hiyo
ReplyDeleteMpira uwanjan sio magazetin..timu ya wazee hiyo
ReplyDelete