Mkali wa mbio za magari za langalanga maarufu kama Formula One, Lewis Hamilton amewapa mtihani mashabiki wake kumdizainia kofia ngumu atakatoitumia katika michuano ya dunia.
Michuano hiyo inatarajia kuanza Machi, mwaka huh na Hamilton ametupia mtandaoni akiuliza ambaye anaweza kumdizainia helmet bomba kabisa kwa mwonekano.
Dereva huyo nyota wa kampuni ya Mercedes ameanza kupata kila ya dizaini mashabiki wake wakionekana kufurahia kuifanya kazi hiyo.
Amesema atakayeshinda, basi naye atatoa zawadi nono kuhakikisha anafurahi.
0 COMMENTS:
Post a Comment