Mshambuliaji wa Madrid, Cristiano Ronaldo anaongoza kwa kuuza sura mtandaoni akiwa na mwanaye.
Mtoto wa Ronaldo, aitwaye Ronaldo Junior ndiye anaonekana zaidi mtandaoni na baba yake kuliko mtoto mwingine wa mwanasoka maarufu.
Mara kadhaa, Ronaldo ambaye ameendelea kumficha mama wa mtoto huyo, wamekuwa wakionekana wakiwa pamoja mtandaoni.
0 COMMENTS:
Post a Comment