Pamoja na kuwa na umri wa miaka 34 lakini mshambuliaji mkongwe wa Sunderland, Jermaine Defoe ameendelea kuonyesha uwezo mkubwa wa kufunga.
TAKWIMU:
Mechi: 20
Mabao: 11
Nafasi alizotengeneza: 12
Uhakika wa mashuti: 53%
Uhakika wa pasi: 79%
Msaada wa ushindi: 40%
0 COMMENTS:
Post a Comment