Huku nyota mpya wa Man City, Gabriel Jesus akilazimika kwenda nje baada ya kuumia, Muargentina, Sergio Aguero ameingia uwanjani na kuisaidia Man City kushinda kwa mabao 2-0 dhidi ya Bournemouth.
Ushindi huo wa bao la Raheem Sterling na like la kujifunga baada ya Agüero kuweka presha, limeifanya Man City kupaa hadi nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu England.
0 COMMENTS:
Post a Comment