February 11, 2017Kocha wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amejitokeza kuwapa hamasa vijana wa Simba kabla ya mechi ya leo dhidi ya Prisons.

Lakini inaonekana Julio ataendelea kuwapa hamasa vijana wa Simba hadi katika mechi dhidi ya Yanga wikiendi ijayo.


Julio aliwahi kustaafu kazi ya ukocha akiwa na Mwadui FC kwa madai ya marefa kutochezesha kwa kufuata sheria 17.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV