Misri imeong’oa Burkina Faso na kiting fainali ya Kombe la Afcon nchini Gabon.
Kikosi cha Misri ambacho kilikuwa hakipewi nafasi kimetinga fainali baada ya kushinda kwa penalti 4-3.
Mechi hiyo ilichezwa kwa dakika 120 na bado matokeo yalikuwa ni safe ya 1-1.
Baada ya hapo uliingia wakati wa mikwaju ya penalti na kips mkongwe zaidi barani Afrika Essam El-Hadary mwenye umri wa miaka 44 akaonyesha umuhimu wake kwa kupangua mikwaju miwili.
El Hadary alianza kupangua penalti ya Kouakou Koffi, halafu ya Bertrand Traore aliyewahi kukipiga Chelsea na kupitisha safari ya Misri kwenda fainali.
Burkina Faso (4-3-3): Koffi; Yago, Dayo, Kone, Coulibaly; A R Traore (Diawara 80), Kabore; B Traore, Toure, Nakoulma; Bance (A Traore 102)
Unused subs: Sawadogo, Paro, Malo, Sare, Pitroipa, Guira, Koanda, Bayala, Sanou
Goal: Bance 77
Egypt (4-2-3-1): El-Hadary; Elmohamady (Gaber 106), Hegazy, Gabr, Fathy; Hamed, I. Salah; M. Salah, Said, Hassan (Ramadan 85); Kahraba (Warda 74)
Unused subs: Gaber, Koka, Dewidar, Hafez, Ekramy, Elneny, Mohsen, Samir
Goal: M. Salah 66
Stadium: Stade de l'Amitie, Libreville
0 COMMENTS:
Post a Comment