February 2, 2017


Kocha wa Yanga, George Lwandamina amesema timu inapokaa kileleni, ugumu unaongezeka zaidi.


Lakini amesema anaamini kikosi chake kina wachezaji wanaojua nini cha kufanya kulingana na kila jambo.


“Sasa tupo kileleni, wachezaji wanajua nini cha kufanya kwa kuwa hii si mara yao ya kwanza kuwa hapo. 

Tunaendelea kukumbushana na lengo ni kuendelea kubaki hapo,” alisema.



Yanga sasa ndiyo ipo kileleni kwa pointi 46 ikiwa ni tofauti ya pointi na watani wao wa jadi Simba wakiwa na pointi 45 na tayari wamepoteza michezo mitatu wakati Yanga walianza kupoteza hadi mechi mbili Simba wakiwa hawajapoteza hata moja.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic