February 9, 2017Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amewasili katika
kituo cha Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kama alivyoahidi.


Manji aliahidi anakwenda leo kuhojiwa baada ya kuwa kwenye listi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. 

Tayari amewasili katika kituo cha Polisi maarufu kama Central huku kukiwa na baadhi ya mashabiki waliojitokeza kumshuhudia.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV