February 9, 2017
Watu mbalimbali wakiwemo mashabiki wa Yanga wamejitokeza katika kituo cha Kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam kumshuhudia Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji.


Manji aliahidi anakwenda leo kuhojiwa baada ya kuwa kwenye listi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. 

 


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV