February 13, 2017

Wafanyakazi na viongozi wa Kampuni ya Global Publishers asubuhi ya leo walikuwa na mjadala mzito kuhusu madawa ya kulevya.

Mjadala huo ulifanyika kwenye ofisi za kampuni hiyo zilizopo Bamaga jijini Dar ambapo kulikuwa na maoni mbalimbali kuhusu kampeni inayoendelea ya kupinga madawa ya kulevya nchini Tanzania.


Wachangia mada walitoa maoni mbalimbali na baadhi ya wachangiaji kwenye mjadala huo ni Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers.

Suala la kutokomeza madawa ya kulevya imekuwa ajenda kubwa kwa sasa katika vyombo vingi vya habari ambapo kampeni hiyo iliibuliwa hivi karibuni na Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda.

Mkurugenzi wa Global, Eric Shigongo


Mwandishi wa Global, Lukonge


Meneja wa Global, Abdallah Mrisho (kulia) akiwa mzigoni.


Meneja wa Global, Abdallah Mrisho (kushoto) akiwa mzigoni.


Ng'osha
John Haramba


Mhariri Mtendaji wa Global, Saleh Ally


SifaelEmmanuel

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV