Ruvu Shooting imeendelea kuyumba katika Ligi Kuu Bara baada ya kuchapwa kwa mabao 3-1 na Mwadui FC.
Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire alisema wamechoka kupoteza mechi zao akiahidi kuwa Mwadui ndiyo watakuwa mfano.
Lakini mambo yameonekana kwenda kombo tena kwao katika nechi hiyo imepigwa kwenye Uwanja wa Mwadui Complex mkoani Shinyanga.
0 COMMENTS:
Post a Comment