February 1, 2017


Azam FC ambao ni mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, wametoka sare ya bila kufungana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini.

Mechi hiyo ya kuvutia, imepigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, usiku huu.


Ilikuwa mechi ya kuvutia, ingawa ni ya kirafiki lakini kila timu ilionyesha uwezo.

Hata hivyo, mabingwa hao wa Afrika ndiyo walimiliki zaidi mpira, huku Azam FC wakitumia mfumo wa kujilinda zaidi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV