February 20, 2017Vifyatavyo ndiyo viingilio vya mechi ya watani, Yanga na Simba itakayopigwa Jumamosi ijayo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Viti vya bluu na kinani ni Sh 7000
 Rangi ya machungwa Sh 10,000

B&C Sh 20,000 na VIP A ni Sh 30000
                       

Imeelezwa kuwa tayari tiketi 10,000 zimeuzwa hadi hivi sasa na Selcom kupitia mtandao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV