March 21, 2017


Kikosi cha Taifa Stars chini ya Kocha Salum Mayanga kimeanza kujifua.

Stars imeanza kujifua kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki dhidi ya Botswana, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Lakini Stars itakuwa na mechi nyingine ya kimataifa dhidi ya Burundi, michezo ikiwa ndani ya zile mechi za kimataifa.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV