April 26, 2017


Arsenal imeendelea na vita yake ya kupambana kupata nafasi ya Top Four katika Ligi Kuu England baada ya kuichapa Leicester City kwa vao 1-0 katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Emirates jijini London, leo.

Bao la Arsenal limepatikana dakika ya 86 baada ya beki Robert Huth wa Leicester kujifunga wakati akijaribu kuokoa.

Hata hivyo, Arsenal ilitengeneza nafasi nyingi za kufunga lakini umekini wa kipa wa Leicester au washambulizi wake kutokuwa makini ulichangia kutopata mabao.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV