April 26, 2017


Pamoja na ugumu wa Crystal Palace, Tottenham Hotspurs imeendeleza kampeni yake ya “kumfukuza mwizi” kimyakimya, kwa kushinda kwa bao 1-0.

Bao hilo limefungwa na Christian Eriksen katika ya 78 baada ya kupokea pasi safi ya Harry Kane.

Huo unakuwa ushinda wa nane mfululizo kwa Tottenham ambayo inaonekana ndiyo mpinzani namba moja wa Chelsea katika mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England.

Kwa ushindi wa leo, Spurs imefikisha pointi 74 na kuendeleza mbio za ubingwa dhidi ya Chelsea yenye pointi 78 huku zikiwa zimebaki mechi tano kwa kila timu.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic