April 25, 2017


Kikosi cha Azam FC kimeendelea na mazoezi yake kama kawaida ikiwa ni pamoja na kujiandaa na Simba.

Azam FC itaivaa Simba katika mechi ya kwanza ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho, mechi itakayopigwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Jumamosi.


Mazoezi ya Azam FC yamekuwa yakiendelea kwenye Uwanja wa Azam Complex na wachezaji wakionekana wako tayari kwa kazi dhidi ya Simba, mechi inayotarajiwa kuwa ngumu na ya kusisimua.



 






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic