April 29, 2017


Bayern Munich imeitwanga  Wolfsburg kwa mabao 6-0 na kufanikiwa kubeba ubingwa wa Bundesliga kwa mara ya tano mfululizo.


Ushindi huo, unaifanya Bayern kuandika historia ya ubabe katika Bundeliga na hasa kuibeba mara tano mfululizo.

Mshambuliaji Roberto Lewandowski yeye alifunga mabao mawili katika mechi hiyo.

Siku chache zilizopita, Bayern ilifungwa na wapinzani wao wakubwa Borussia Dortmund ambao wamesonga hadi katika fainali ya Kombe la Ujerumani.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic