MSIMAMO WA LA LIGA BAADA YA MADRIDI KUITWANGA VALENCIA 2-1 Baada ya Real Madrid kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Valencia, hivi ndivyo msimamo wa La Liga unavyoonekana. Hii ni kabla ya mechi kati ya Espanyol dhidi ya Barcelona ambayo inachezwa leo.
0 COMMENTS:
Post a Comment