April 21, 2017Droo ya Nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa imekamilika na Real Madrid atakutana na Atletico Madrid katika mechi ya kwanza ya hatua hiyo.


Nusu fainali ya pili, itakuwa ni AS Monaco dhidi ya Juventus mechi ya kwanza ikipigwa nchini Ufaransa.


MECHI ZA KWANZA:
Real Madrid Vs Atletico Madrid
AS Monaco Vs Juventus.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV