April 21, 2017


Kiungo nyota wa pembeni wa Real Madrid, Gareth Bale amerejea mazoezini na kuanza kujifua na wenzake.

Bale amerejea wakati keshokutwa Madrid itakuwa dimbani kuwavaa Barcelona katika mechi muhimu ya El Clasico ambayo kila upande unahitaji kushinda.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV