April 2, 2017


Yanga imeitwanga Azam FC kwa bao 1-0, bao lililofungwa na Mzambia, Obrey Chirwa katika dakika ya 70.

Ilikuwa moja ya mechi bora za Ligi Kuu Bara kutokana na ushindani mkali. Angalia matukio mbalimbali katika picha.

1 COMMENTS:

  1. Kwa game ya jana nimemuona frank domayo ni bonge la mchezaji,akimentain coestance yake,nafikiri mayanga anapaswa kuongeza national team

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV