Mchezaji rugby amefungikiwa kucheza mchezo huo maisha baada ya kumtwanga mwamuzi ngumi kali hadi akapoteza fahamu.
Mwamuzi Benjamin Casty alionekana kuzozana na mchezaji huyo aitwaye Hedi Ouedji mwenye umri wa miaka 21 tu.
Kama hiyo haitoshi, Hedi Ouedji alikuwa amesajiliwa na Saint Esteve alimtwanga mchezaji wa timu ya Toulouse aliyemfuata baada ya yeye kumpiga mwamuzi.
Mbabe mwenye huyu hapa. |
0 COMMENTS:
Post a Comment