May 2, 2017


Samuel Abisai akiwa na hundi yake baada ya kujishindia Kshs. 221,301,602/= sawa na Shilingi bilioni 4.8 za Kitanzania.

Viongozi wa SportPesa wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumkabidhi hundi mshindi.

Mkurugenzi Mtendani wa SportiPesa, Cpt.Ronald Kariuri akiongea jambo baada ya kumkabishi hundi mshindi.

Samweli akiwa katika hali ya mshutuko baada ya kushinda fedha.

Muonekano wa gari la kipekee lilokwenda kumpokea mshindi huyo wa SportPesa.

Waendesha bodaboda wakiwa katika msafara wa kwenda kumchukua mshindi nyumbani kwao Thika Road.

Gari likiwa limeegesha nyumbani kwa mshindi.

Wananchi na wanahabari wakiwa nje, nyumbani kwa mshindi.

Samuel Abisai wa Kenya amejishindia Ksh. milioni 221 (sawa na Sh. Bilioni 4.8 za Kitanzania) kutoka kampuni ya Bahati Nasibu ya SportPesa. Kijana huyo alishinda baada ya kubashiri mechi kumi na saba. Wananchi wengi wa Kenya wamepata hamasa ya kuendelea kucheza michezo ya kubahatisha ili kubadili maisha yao. Samweli baada ya kukabidhiwa hundi ya pesa yake aliweza kufunguka kuwa alipopigiwa simu na mfanyakazi wa SportPesa hakuamini mpaka alipokabidhiwa fedha zake. Hapa chini ni Tweet za SportPesa wakiwa na mshindi wa mtonyo huo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV