Hiki ndiyo kikosi cha timu ya Randers ya Denmark alichokitumikia Mtanzania Himid Mao kwa mara ya kwanza wakati timu hiyo ya wacheaji wa akiba ilivyocheza mechi na kupoteza kwa mabao 2-1.
Kimejaza vijana wengi ambao wanatengenezwa na wanaopewa nafasi ya kuingia katika timu ya kwanza au kuuzwa katika timu nyingine. Himid anatarajiwa kuendelea kupewa nafasi zaidi.
Himid yuko nchini Denmark ambako anafanya majaribio akitaka nafasi ya kuichezea Randers.
KIKOSI
Jonas Dakir (U19)
Jeppe Olsen (DS)
Mads Agesen
Casper Lykke (U19)
Sam Lundholm
Lucas Haren
Himid Mao
Nicolai Poulsen
Mikkel Kallesøe
Andreas Bruhn
Mileta Rajovic (U19)
Tobias Damsgaard (U19)
Mathias Mortensen (DS)
Simon Jensen (U19)
Lasse Storvang (DS)
Nicklas Roll (U19)
0 COMMENTS:
Post a Comment