May 30, 2017Gabriel Jesus sasa ni staa wa Manchester City akilipwa pauni million 4 kwa mwaka.


Lakini miaka michache iliyopita alikuwa fund rangi na kazi yake ni kuchora au kuandika katika mitaa ya jiji la Sau Paulo.


Hii unaweza kusema kweli maisha yanahitaji kuendelea kujituma na hautakiwi kuchoka. Kazi kwako.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV